Last updated 3 months, 3 weeks ago
Last updated 2 months, 3 weeks ago
🖋HII NI CHANNEL KHAASWA KWA AJILI YA KUKUSANYA NA KUTAWANYA AATHAR ZA SALAF KWA LUGHA YA KISWAHILI
Inamilikiwa na Abu Zubeir Suleiman bn Maina, An-Nairobiy,Al-kinyiy حفظه الله ووفقه
Last updated 1 week ago
قال الإمام ابن رجب - رحمه الله -:
النّاس في زمن الفتن يتبعون أهواءهم،ولا يرجعون إلى دين؛ فيكون حالهم
شبِيهاً بحال الجاهلية.
لطائف المعارف - (ص١٣٢)
Imaam Ibn Rajab-Allah Amrehemu- amesema:
Watu katika nyakati za fitna hufuata matamanio yao, na wala hawarudi katika Dini;hivyo hali zao
zinafanana na zile za Jahilyyah (zama za kabla ya Uislamu).
_Lata'if al-Ma'arif_ - _(uk. 132)_
قال ابن القيم رحمه الله تبارك وتعالى :
"من كمال فطنة العبد ومعرفته :
أن يعلم أنه إذا مسه الله بسوء لم يرفعه عنه غيره".
[إغاثة اللهفان(٣٤/١)].
Ibn al-Qayyim, Allāh Mtukufu amrehemu, amesema:
"Kutokana na ukamilifu wa akili na ujuzi wa mja:
Kujua kwamba Allāh akimgusa na Madhara, hakuna mwingine anayeweza kuuondoa kwake.
[Igãthatu lahfaan(1/34)].
قال الشيخ صالح الفوزان حفظه الله تعالى ؛
لا يجوز للمسلم أن يعلق آية الكرسي أو غيرها من آيات القرآن أو الأدعية الشرعية على رقبته لدفع شر الشياطين أو للاستشفاء بها من المرض.
Sheikh Salih Al-Fawzan-Allah amuhifadhi- amesema:
Haijuzu kwa Muislamu kuning'iniza Ayatul Kursiy, au nyinginezo katika aya za Qur'ani, au dua za kishariàh, lkwenye shingo lake ili kuzuia Sharri ya mashetani, au kutafuta shifaa kwazo kutokana na maradhi.
[ المنتقى ( ١/٨٤].
قال سفان الثوري رحمه :
كان المال فيما مضى يُكره ، فأما اليوم فهو تِرْس المؤمن .
سير أعلام النبلاء ( ٢٤١/٧ )
Imaãm Sufyan Ath-Thawri رحمه الله amesema:
Hapo zamani, pesa zilikuwa zikichukiwa, lakini leo,ni ngao ya mu'mini.
Siyar A'lām an-nubala (7/241)
ﻗﺎﻝ ﺍﺑﻦ ﺍﻟﻘﻴّﻢ ﺭﺣﻤﻪ ﺍﻟﻠﻪ:
"ﻭﺍﻟﻨﻔﺲ ﻓﻲ ﺍﻷﺻﻞ ﺧﻠﻘﺖ ﺟﺎﻫﻠﺔ ﻇﺎﻟﻤﺔ، ﻓﻬﻲ ﻟﺠﻬﻠﻬﺎ ﺗﻈﻦ ﺷﻔﺎﺀﻫﺎ ﻓﻲ ﺍﺗﺒﺎﻉ ﻫﻮﺍﻫﺎ،
ﻭﺇﻧﻤﺎ ﻓﻴﻪ ﺗﻠﻔﻬﺎ ﻭﻋﻄﺒُﻬﺎ ."
[ﺯﺍﺩﺍﻟﻤﻌﺎﺩ ( ٢٠٣/٤ )]
Ibn al-Qayyim, Allāh amrehemu, amesema:
"Nafsi iliumbwa jaahilatan thàalimah;
Yenye ujingana,na yenye kudhulumu.
Kwa hivyo kwa sababu ya ujinga wake, inadhani kuwa tiba yake iko katika kufuata matamanio yake, lakini katika hilo ndio maangamio na uharibifu wake."
[ _Zād al-Ma'ād_ _(4/203)_ ]
الله المستعان.
**قال شيخ الإسلام ابن تيمية رحمه الله تعالى:
فلو علمت العامة:
أن تفويت الصلاة كتفويت شهر رمضان باتفاق المسلمين؛ لاجتهدوا في فعلها في الوقت.
[منهاج السنة النبوية (٢٣٠/٥)]
Sheikh Al-Islam Ibn Taymiyyah, Allāh amrehemu, amesema:
Lau umma kwa ujumla ungejua kuwa kukosa swala ni sawa na kuukosa mwezi wa Ramadhani, kwa mujibu wa maafikiano ya Waislamu, wangejitahidi kuitekeleza kwa wakati.
[Minhaj as-Sunnah an-Nabawiyyah (5/230)**]
https://t.me/madaarijus_Saalikin
ﺷﺮﺏ ﺍﻟﻌﺴﻞ ﻣﻊ ﺍﻟﻤﺎﺀ ﻋﻠﻰ ﺍﻟريق(معدة فارغة)"
ﻗﺎﻝ ﺍﺑﻦ ﺍﻟﻘﻴﻢ ﺭﺣﻤﻪ ﺍﻟﻠﻪ :
وﻓﻲ ﺫﻟﻚ ﺳﺮٌ ﺑﺪﻳﻊ ﻓﻲ ﺣﻔﻆ ﺍﻟﺼﺤﺔ،
ﻻﻳﺪﺭﻛﻪ ﺇﻻ ﺍﻟﻔﻄﻦ ﺍﻟﻔﺎﺿﻞ .
ﺯﺍﺩ ﺍﻟﻤﻌﺎﺩ ٤/٣٥
"Kunywa asali na maji kwenye tumbo tupu."
Ibn al-Qayyim, Allāh amrehemu, alisema:
Hii ni siri ya ajabu katika kuhifadhi afya.
Ni watu wema na wenye akili tu ndio watakaoielewa.
[Zād al-maàd (4/35)]
Last updated 3 months, 3 weeks ago
Last updated 2 months, 3 weeks ago
🖋HII NI CHANNEL KHAASWA KWA AJILI YA KUKUSANYA NA KUTAWANYA AATHAR ZA SALAF KWA LUGHA YA KISWAHILI
Inamilikiwa na Abu Zubeir Suleiman bn Maina, An-Nairobiy,Al-kinyiy حفظه الله ووفقه
Last updated 1 week ago