Unlock a World of Free Content: Books, Music, Videos & More Await!

TechMinded

Description
Karibu TechMinded Tujifunze Kwa Pamoja!!⚠️•👤

Hapa Utapata Vitu Vyote Vinavyohusu Technology Ikiwa Pamoja Na Softwares, Apps, Tips, Tutorials, Digital & TechNews N.k 🔐.

🚀 Get Assistance On Our Tools Website: mrchris.42web.io
Advertising
We recommend to visit

Maqsad 10k ega @Anvarov_883

admin :
admin : @shoxa_new11

Last updated 1 month, 2 weeks ago

🇺🇿O'zbekistondagi eng arzon va ishonchli PUBG Mobile Akkaunt savdo kanali

Boss @diwa_cash‼️

•👨🏻‍💻ADMIN @diwa_cash
•♻️OTZIV @diwa_otziv
•〽️UC SERVICE @diwa_cash 24/7
•👀 FULL @diwa_otziv

🤍GARANT @futiks ozm shotama

Last updated 1 week ago

Karibu TechMinded Tujifunze Kwa Pamoja!!⚠️•👤

Hapa Utapata Vitu Vyote Vinavyohusu Technology Ikiwa Pamoja Na Softwares, Apps, Tips, Tutorials, Digital & TechNews N.k 🔐.

🚀 Get Assistance On Our Tools Website: mrchris.42web.io

Last updated 1 month, 1 week ago

1 month, 1 week ago
1 month, 1 week ago
**Jinsi ya Kupunguza Ukubwa wa Picha …

Jinsi ya Kupunguza Ukubwa wa Picha Yani (Resizing )

Leo tutajifunza jinsi ya kupunguza ukubwa wa picha kwa urahisi na haraka kwa kutumia web ya resizeimage.net. cha kufanya ni :-

  1. Nenda kwenye web ya resizeimage.net

  2. Bonyeza button ya "Upload Images" na chagua picha unayotaka kupunguza ukubwa.

  3. Baada ya picha kupakiwa, bofya "Resize Image" kwenye menyu ya upande wa kushoto.

  4. Weka vipimo unavyotaka kwa picha yako mpya, mfano: 250-700.

  5. Baada ya kuweka Size unayo Taka, bonyeza button ya "Resize Image" than wait.

  6. Ikisha maliza bonyeza kitufe cha "Download Image" ili kupakua picha yako mpya iliyopunguzwa.li!

@Tech_Minded 📡 #Tipa

1 month, 1 week ago

Kama Unafahamu Cracking, Carding, Hacking, Coding Language Yoyote Isiwe HTML Plz 😄 & Other Tech-related Nitafute DM.

Make Sure Unafahamu Kiundani @ModeratorTMbot

1 month, 1 week ago
1 month, 1 week ago
***⚡*****New Features Added**

New Features Added
- Tuna penda kukutaalifu kuwa Tumeongeza Features kubwa sana kwenye Bot wetu Ambayo Utaweza Download Music 🎶* Bure kutoka soko la *Spotify Free.

🔥How To download
cha kwanza ingia kwenye bot wetu wa @ntstzbot kisha andika kama ifuatavyo.

MUSIC Your music name/jina la muziki

- Fata maelekezo kama ilivyo kwenye Picha hapo juu.

⚠️ NoTe
Neno "MUSIC" andika kwa herufi kubwa kisha acha nafasi na andika jina la nyimbo pamoja na jina la msanii mfani nyimbo ya jux Nisiulizwe Utaandika hivi
Jux Nisiulizwe. Hii inasaidia kupata jibu kwa haraka akwa sababu nyimbo ni nyingi hivyo System itachelewa kuchakata.

@Tech_Minded 🎶 #Music

1 month, 1 week ago
Kama Unatumia Tigo Download Hii Application …

Kama Unatumia Tigo Download Hii Application Ya Tigo Pesa Jiunge Utapata Zawadi Ya Gb 1 Ambalo Utatumia Ndani Ya Masaa 24

🧊Link: TIGO PESA APP

👁‍🗨 @TechMinded #Tips

1 month, 1 week ago

Kama Unatumia Halotel Washa Data Kula Maisha

@TechMinded

1 month, 1 week ago

Chat Web Application using
PHP with MySQL &
JavaScript

📱 @Tech_Minded 📡 #Code

1 month, 1 week ago
**ChatWeb Application** Imeundwa Na **PHP** Pamoja …

ChatWeb Application Imeundwa Na PHP Pamoja Na MySQL & JavaScript, Kuna Watu Walihitaji Haina Hii Ya Source Codes.

Naweka Source Codes File Chini Ya Hii Post.

📱 @Tech_Minded 📡

1 month, 1 week ago
  1. Hakikisha Post Utakazoweka Ni SEO Friendly (Search Engine Optimization) Kama Vile Post Ziwe Na Meta Title Na Description Tag Ambazo Zitaongeza Rank Ya Blog Yako Kwenye Google Search Engine.

  2. Kabla Hauja Apply Google Adsense Approve Hakikisha Umeweka At least Post Kumi (10) Zikiwa Na High Quality Content.

  3. Hakikisha Unaweka About Us Page, Privacy Policy Page, Na Contact Page. Mifano Ya Hizi Pages Nitaweka Kwenye Channel Hapo Baadae.

  4. Hakikisha Blog Template Unayotumia Inakubalika Na Google Adsense. Kabla Haujaweka Template Yoyote Hakikisha Unaifatilia Vizuli Kama Ni Miongoni Mwa Hizo Templates.

Mwisho, Chakuzingatia Zaidi Usitumie Copyrighted Content (Picha, Article N.k) Kama Ushafata Hatua Zote Tengeneza Akaunti Google Adsense Na Apply Ads Approve Kwenye Blog Yako.

🚀 Nina Imani Humu Wapo Kadhaa Waliokuwa Na Experience Ya Ku-approve Google Adsense Ads Kwenye Blog Zao Share Experience Uliopata Kwenye Comment Section Tupate Kujifunza.

📱 @Tech_Minded 📡 #Tips

We recommend to visit

Maqsad 10k ega @Anvarov_883

admin :
admin : @shoxa_new11

Last updated 1 month, 2 weeks ago

🇺🇿O'zbekistondagi eng arzon va ishonchli PUBG Mobile Akkaunt savdo kanali

Boss @diwa_cash‼️

•👨🏻‍💻ADMIN @diwa_cash
•♻️OTZIV @diwa_otziv
•〽️UC SERVICE @diwa_cash 24/7
•👀 FULL @diwa_otziv

🤍GARANT @futiks ozm shotama

Last updated 1 week ago

Karibu TechMinded Tujifunze Kwa Pamoja!!⚠️•👤

Hapa Utapata Vitu Vyote Vinavyohusu Technology Ikiwa Pamoja Na Softwares, Apps, Tips, Tutorials, Digital & TechNews N.k 🔐.

🚀 Get Assistance On Our Tools Website: mrchris.42web.io

Last updated 1 month, 1 week ago