Unlock a World of Free Content: Books, Music, Videos & More Await!

Dⓤⓡⓤⓢⓤ na Fⓐⓘⓓⓐ za Kⓘⓔⓛⓘⓜⓤ📖.

Description
⇨Ni channel iliyosheheni Dondoo Audio na makala mbali mbali za kielimu kwa lugha ya kiswahili🇹🇿 chini ya ✍️ Al'akhy--ⓐⓑⓤⓤ—ⓣⓦⓐⓛⓗⓐⓗ RASHIDI ADINANI ↭وَفَّـقَـهُ الـلّٰـه↭
📲0621-443709/0783-020768.
Advertising
We recommend to visit

Last updated 6 months, 3 weeks ago

Domelipa 💋

Last updated 3 days, 8 hours ago

Работа Гвардейцев Десантников на Запорожском направлении!🥷🥷

Last updated 1 month, 3 weeks ago

1 day, 22 hours ago
1 day, 22 hours ago
1 day, 22 hours ago

🚥🧶🚥FAKHARI YA MWENYE KUFANYA TOBA..

Amesema Yahya bin Muadh - رحمه الله -:-

للتّائِبِ فخرٌ لا يُعادلهُ فخر؛ فرح الله بِتَوْبتِه.

((Hakika Mtu aliye tubia anayo fakhari ambayo hakuna fakhari kama hiyo nayo ni kufurahi kwa Allāh juu ya Toba yake.))

حلية الأولياء (59/10)

https://t.me/Durusu_na_Faida_za_kielimuTz01

1 week, 1 day ago
1 week, 1 day ago
1 week, 1 day ago

🧶🧶🧶UONGO NI MOJA YA TABIA ILIYO KUWA MBAYA MNO..

Amesema Imamu Abdu-rrahman Al'muāllimiy - رحمه الله -:-

كان العرب يحبون الشرف ، ويرون أن الكذب من أفحش العيوب المسقطة للرجل

((Waarabu walikuwa wakipenda kheri na utukufu hivyo walikuwa wakiona kwamba Uongo ni Aibu mbaya mno yenye kumdondosha chini Mtu kihadhi.))

📚« التنكيل ٢١١/١ »

https://t.me/Durusu_na_Faida_za_kielimuTz01

2 weeks, 2 days ago
2 weeks, 2 days ago

🚥🪔🚥MJA WA HIVI AMEFAULU..

Amesema Imamu Ibnul Jawziy رحمه الله تعالى:

طوبي لعبد إذا أحسن إليه ربه حمد وشكر ، واذا أساء إلى نفسه تاب واستغفر

————-•

((Amefaulu Mja ambae pindi Mola wake anapo mfanyia mema anamhimidi na kumshuruku na pindi anapofanya mabaya juu ya nafsi yake anatubia na kutaka maghfira.))

📚للإمام ابن_الجوزي رحمه الله
التذكرة / ٣١.

Ilivyo ni kwamba Mja yuko baina ya mambo hayo mawili lazima Allāh atuwafikishe na kila kheri.

https://t.me/Durusu_na_Faida_za_kielimuTz01

2 weeks, 2 days ago

💐🌹💐EH WAISLAMU HAKIKA NDOA BORA NI ILE NYEPESI..

Amesema Mtume صَلَّى اللَّهُ عَلَيْهِ وَسَلَّمَ :

(خير النكاح أيسره)

|{Ndoa bora ni Ile nyepesi}|

رواه ابن حبان . وصححه الألباني في صحيح الجامع (3300) .

Amesema Mtume اللَّهُ عَلَيْهِ وَسَلَّمَ :

( خير الصداق أيسره )

|{Mahari bora ni ile nyepesi yake.}|

رواه الحاكم والبيهقي . وصححه الألباني في صحيح الجامع (3279) .

🌓🎋🌗Tunapo zungumzia wepesi katika Ndoa maana yake ni wepesi katika kila kitu kuanzia Uchumba , Mahari, Harusi , Maisha ya ndani ya Ndoa n.k

https://t.me/Durusu_na_Faida_za_kielimuTz01

2 months, 2 weeks ago
We recommend to visit

Last updated 6 months, 3 weeks ago

Domelipa 💋

Last updated 3 days, 8 hours ago

Работа Гвардейцев Десантников на Запорожском направлении!🥷🥷

Last updated 1 month, 3 weeks ago